News
Loading...

´Dk Sengondo Mvungi avamiwa na kushambuliwa!


Dk Sengondo Mvungi
Dkt Sengondo Mvungi mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha NCCR MAGEUZI na mjumbe wa tume ya katiba, usiku wa kuamkia leo hii alivamiwa nyumbani kwake jijini Dar na watu wasiojulikana na imeelezwa kuwa amejuruhiwa vibaya mno kwa silaha zinasadikika kuwa ni mapanga. Mkuu wa idara ya itikadi na mahusiano ya jamii wa chama hicho Bw Moses Machali (Mb) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na ameeleza zaidi kuwa Dk Mvungi amejeruhiwa vibaya hasa kichwani na alikuwa amepoteza fahamu na hali yake ni mbaya sana katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Habari kwa hisani ya michuziblog

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :