News
Loading...

Katibu wa Twanga Pepeta Abuu Semhando AfarikiMarehemu Abuu Semhando enzi za uhai wake akiwa kazini.

Mungu ailaze pema peponi roho ya Marehemu Abuu Semhando( Baba Diana). Aliyefariki usiku wa juzi kuamkia jana kwa ajali ya gari kuigonga pikipiki yake kwa nyuma.Mwili wake unatarajiwa kusafirishwa kesho alfajiri kuelekea Muheza kwa mazishi.Baba Diana hapa akipiga drums kazi aliyoifanya mpaka umauti ulipomkuta


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :