News
Loading...

Poleni wafiwa!


Nchi ya Tanzania ipo katika msiba mkubwa wa kitaifa baada ya wanamuziki 13 wa kikundi cha taarab cha Five Star Modern Taarab kupoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani ambapo basi dogo aina ya Toyota Coaster walilokuwa wakisafiria toka mkoani Mbeya kupinduka baada ya dereva wa Coaster kujaribu kulipita lori lililokuwa limesimama na kukutana na lori jingine ambapo coaster na na lori hilo zote zilipinduka. Lwama zimeelekezwa zaidi kwa dereva wa coaster ambaye alitoroka baada ya ajali. Mungu awalaze mahala pema peponi waliofariki na awape subira wafiwa pia awape nafuu waliojeruhiwa. Amin! Mungu ibariki Tanzania!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :