Wimbi la Tsunami mjini Iwanuma kaskazini mwa Japan |
Tsunami yenye futi 33 ilibamiza pwani ya Kaskazini mashariki mwa nchi ya Japan jana.
Inasemekana watu zaidi ya 1000 wanahofiwa kuwa wamepoteza maisha kufuatia janga hilo la Tsunami na kumekuwa na hofu inayoongezeka juu ya kiwango cha radiesheni ya Nyuklia kuwa ni mara 1,000 kile cha kawaida katika chumba cha kuendeshea mitambo ya Nyuklia katika mji wa Fukushima.
Waziri Mkuu wa Japan Naoto Kan ameamuru watu wakae umbali wa maili sita kutoka ilipo mitambo hiyo ya nyuklia na tayari watu zaidi ya 3000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao.Mungu wasaidie wa Japani!
Tsunami ilivyozoa mabaki ya majengo na magari |
Hapa ni ilipo bandari ya Oarai |
0 comments :
Post a Comment