News
Loading...

Game Park iboreshwe!


Mmoja wa Nyumbu kati ya wawili waliopo game
Huyu ni Nyumbu mmoja kati ya wawili wanaofugwa Game park, National ,Tabora. Inasemekana miaka ya nyuma Game park palikua na wanyama wa kila aina lakini sasa ni msitu ambao hautumiki ipasavyo kama ilivyo kwa sasa pana swala watatu, Nyumbu wawili na Kobe sita. Mimi nafikiri inabidi Game Park pakabidhiwe wawekezaji wenye uwezo kipesa ili waweze kupeleka wanyama tofauti tofauti hapo jambo ambalo kwanza litatengeneza ajira na litaongeza pato la mkoa huo. Hii ni nafasi nzuri ambayo ikitumiwa vema itauletea mafanikio mkoa wa Tabora.
Nyumbu akivinjari katika msitu wa Game park.

Huu ni msitu ndani ya Game park Tabora.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :