News
Loading...

Halmashauri inaliona hili banda?


Kituo cha dala dala kikiwa kimeanguka
Kibanda hiki kilichopo nje ya uzio wa hospitali ya Mkoa ya Kitete mjini Tabora kimekuwa katika hali hii karibu mwaka mzima sasa kama si zaidi na kwa sasa kinatumika kama mahala pa kujisaidia haja ndogo lakini watu wa halmashauri wamegeuka vipofu kwa muda huo wote, na usishangae kukiona katika hali hii hii hata ifikapo 2012! Tuombe uzima tu!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :