News
Loading...

What goes around come around! Ask Chelsea!


Oldtrafford ndio mchezo wa marudiano utapigwa.
Baada ya Man united kushindwa kuifunga Chelsea Stamford Bridge kwa takriban miaka tisa hivi jana waliuvunja mwiko huo baada ya Wayne Rooney kuifungia goli moja na la pekee katika mchezo huo. Kabla ya mchezo huo Sir Alex Ferguson alisema kuwa alitumai bahati ingekuwa upande wao baada ya mechi tatu mfululizo kupata matokeo mabaya katika uwanja huo wa Stamford Bridge. Kocha wa Chelsea alikasirishwa mno na refarii Alberto Mallenco kuoka Spain kushindwa kutoa penelti baada ya Patrice Evra kumuangusha Ramirez ndani ya eneo la hatari. Evra mwenyewe amesema ni mabadiliko mazuri baada ya kufungwa na Chelsea mara tatu hapo Stamford Bridge kwa magoli yenye utata. Ni vema Chelsea wakubali hayo mambo yapo na yataendelea kutokea!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :