News
Loading...

Ukame wa wagonga kikombe kwa dada Mage!


Hali ilivyokuwa kwa dada Mage Uzunguni jana.
Hapa ni kwa dada Mage Urban quater, Uzunguni jana pakiwa hapana watu kama juzi na siku zingine za nyuma ambapo watu walifikia mpaka 4500 katika foleni. Sijui hali hii inamaaanisha nini lakini nitaendelea kufuatilia maendeleo ya mahudhurio ya wahitaji  kikombe mahala hapa. Hata hivyo barabarani nilikuta basi dogo likiwa limejaa watu wenye asili ya ki Asia wakanambia wametoka kunywa dawa kwa dada, walionesha kuwa na furaha sana hatimaye kujipatia kikombe. Mmoja wao kwa jina Sudhesh alisema walitokea Mwanza. Ila walikataa kupigwa picha nami nikaheshimu ombi lao hilo!
Hili basi dogo lilisheheni watu wenye asili ya kiasia.

Hata barabarani heka heka zimepungua.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments :

Anonymous said...

Kaka asante sana kwa picha, umenikumbusha mbali sana, hata shule ya Msingi niliyosoma, asante sana.

Mdau

Canada

Mkala26 said...

Never mind bro,
just anytime!

Anonymous said...

Watu wamegundua da' Mage feki nini? Mbona big drop ya watu, au wote wameshakunywa. Naomba utusaidie ushuhuda wa watu waliopata kikombe cha "babu" da' Mage.