News
Loading...

Sakata la Yanga kukataa kuvaa jezi yenye Nembo nyekundu


Wapendwa wadau napenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha kuwa hasa kwa wale ambao hawakujua kuwa Yanga inakosea kuikataa nembo ya mdhamini wa ligi ya Tanzania kwa kuwa hata Uk timu zote zinavaa nembo ya mdhamini wa ligi yao ambaye ni Barclays. Kwa mfano tazama picha hiyo hapo juu nembo ya Barclays ipo mabegani mwa jezi walizovaa wacheza mpira hao wawili. Hivyo basi Yanga wanapaswa wavae nembo hiyo ya Vodacom na bila kubadilishwa rangi, vinginevyo hali hiyo itapelekea TFF kuendeshwa na vilabu hasa Simba na Yanga.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :