News
Loading...

Nini maana ya kufanya Music video shoot ughaibuni?Diamond Platinumz
Kumekuwa na kawaida siku za karibuni wasanii wa muziki wa Bongo Flava kwenda kutengeneza video za nyimbo zao nchi za nje ama South Africa au Kenya. Nafikiri ni jambo zuri kubadilisha mandhari hasa kwa kuwa locations ni chache sana hapa Tanzania lakini pia kuna wasanii wengine wamekuwa wakifanya hivyo ama kwa kuiga tu au sifa kwa sababu unaambiwa hii video imefanyika Kenya, ukiitazama huoni kwa nini ilibidi iafanyikie Kenya kwani mwanzo mpaka mwisho wa video hiyo imechukuliwa ndani tu, sasa unajiuliza "why wasting money for something that could have been done here in Tanzania and cost less? Pichani ni mfano video ambazo utakubali maana ya kufanyikia nje ya Tanzania lakini si nyingine ambazo zimeelezwa kufanyikia nje ya nchi.
FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :