News
Loading...

Copa Cabana Pub!


Kama vipi timba pande hizo za Mtaa wa Togo Kinondoni "B" upate ma drinks ya kila aina, nyama choma, mishkaki laini na mazaga kibao. Pia ma flat screen ya 80 inches sana tu, ma weekend Premier League, La liga, Seria A na Bundes Liga.
Huu ndio mtazamo wa Copa Cabana sports Pub.
Gaby, Kiyungi,Teef na Sudi owner Copa Cabana Pub.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :