News
Loading...

Nash Designer atoa video yake ya pili.Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) Nash Designer Aka Mussa Shabani pichani jana ametoa rasmi video yake mpya ya wimbo Usione aibu, wimbo huo uliotayarishwa na producer Mswaki wa studio ya Hometown records ya jijini, ulirushwa na baadhi ya vituo vya runinga ikiwemo Clouds Tv.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :