News
Loading...

Pata Zawadi!Hapa ni Mzinga Way Oysterbay, ndipo lilipo duka la ZAWADI

Hili ni duka jipya linalouza fremu za picha za kila aina na zenye ubora wa kipekee, mifuko ya kuhifadhia zawadi yenye ukubwa na rangi tofauti na vikombe vyenye jumbe za kila aina kama hongera, pole na jumbe nyingi nyingine. Ni vema ufike hapo Mzinga Way karibu na Q Bar, Oysterbay ili ujionee na kuchagua mwenyewe kile upendacho.Kwa maulizo au maelezo zaidi tafadhali tupigie simu nambari 0713 175966
                                       Jipatie Fremu za picha za kila aina na zenye ubora wa kipekee.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :