News
Loading...

Tawi jipya la CRDB Mwanjelwa,Mbeya.
Waziri wa maji baada ya kufungua tawi jipya la benki ya CRDB mjini Mbeya enei la Mwanjelwa pia alikabidhi vitanda vya hospitali kwa mwalikilishi wa mkuu wa mkoa wa Mbeya bw Kayombo. Itakumbukwa niliwahi andika makala moja kuhusu upungufu wa vitanda katika wodi ya wazazi katika hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete ambako hali ni mbaya mno kiasi kwamba hufikia waja wazito watatu kulazwa kitanda kimoja, nafikiri CRDB na Bw Kimey (Mkurugenzi CRDB)wanaweza wakatoa msaada wa vitanda bila kufungua tawi jipya la CRDB Tabora. Natanguliza shukurani!
Waziri wa maji Mark Mwandosya akikabidhi vitanda vya hospitali.




FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

Anonymous said...

Yes ni keli hospitali ya Kitete ina tatizo la citanda wodi ya wazazi, tuombe serikali ilione hili na ilifanyie kazi.