News
Loading...

Je wajua?



Chris Powell wa Charlton

Chris Hughton wa Birmingham city.
Pamoja na nchi ya England kuwa na vilabu 92 vya mpira wa miguu katika madaraja yote kuanzia Premier League mpaka conference, na pia kuna wacheza mpira wasio weupe (ethnic minority) 4500 katika nchi hiyo ambao ni sawa na asilimia 25 ya wacheza mpira wote nchini humo. Pia kuna mameneja 92 wa vilabu nchini humo lakini wote ni weupe (Whites) kasoro wawili tu ambao ni Chris Powell wa Charlton na Chris Hughton wa Birmingham City ambao ni weusi (Blacks)


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments :

Anonymous said...

Kaka yaani bado una mambo ya ubaguzi...umeeacha wa dini sasa umeamia kwa weupe and weusi...mbona Marekani kwenye basketball ni the same, makocha karibu wote ni weupe...

Mkala26 said...

Kaka kama uniitavyo, jua chochote ninachoandika humu nakuwa ama nimekiona kwa macho yangu au nimekisoma.

tz biashara said...

Anoy siyajui ya udini lakini ya rangi hapa mbona ni ukweli tu.Mimi ninaishi uingereza na hali inajulikana jinsi ilivo mpaka kupata kazi wakati mwingine unajiona jinsi gani rangi yako ya mwili au dini yako kama ni muisilamu inavyo ku let down.Na huko marekani hali ni ngumu sana tu angalia watu weusi wanavoteswa na polisi wakiwakamata wanaweza kuua na wasifanywe chochote.Angalia weusi wakipatwa na majanga kama ilivotokea "katrina"serikali iliwaacha wafe halafu wengine walipigwa risasi amini usiamini na kuwachwa kwa muda mrefu na maiti zikielea.Wafungwa walifungiwa jela peke yao na kufa yote haya ni rangi nyeusi.Misikiti inavunjwa au kuchomwa moto na waisilamu wanapigwa na mengi tu.Usishangae mtu kuongelea ubaguzi ni lazima uongelewe na isitoshe hapa kwetu watu wanawanyenyekea na kupewa kipaumbele bila kujijua.Sisemi ni wote wabaguzi lakini wengi wao ni matatizo matupu.