News
Loading...

Rais Kikwete anapotumia ndege ya serikali kwa shuhuli za chama


Mh Rais akiwasili mjini Dodoma jana

Sijui ni mimi kutoelewa kwangu au ni kweli Mh Rais hapaswi kutumia facility za serikali kwa faida ya chama tawala CCM, ndege hiyo aina ya Gulfstream iliyomgharimu mlipa kodi wa Tanzania Tsh 8B ilinunuliwa wakati wa utawala wa Rais mstaafu Ben Mkapa na waziri wa fedha wakati huo Mh Zakhia Meghji , ilileta zogo kubwa bungeni, wabunge wengi wakipnga ununzi wa ndege hiyo ya anasa ambayo wamiliki wengine wa ndege kama hiyo ni wanamuziki maarufu na tajiri  wa ki Marekani wa Puff Daddy na Jay Zee

Gulf stream ilivyo kwa ndani .

Hata hivyo chama hicho tawala kikianza mkutano wake mkuu leo hii huko Dodoma ambapo patakuwa na chaguzi ikiwemo ya kumuongezea muda yeye Mh Kikwete wa kukiongoza chama hicho, ambapoa hata hivyo vyombo vya habari kadhaa vimeripoti upinzani mkubwa dhidi ya Mwenyekiti huyo kuongezewa muda wa kukiongoza cha hicho baada ya vipeperushi vikiwa vimesambazwa kwa wajumbe wengi wa mkutano huo kutompa kura za ndio Kikwete kwa madai ya kumpunguzia majukumu Rais huyo wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :