News
Loading...

Mtandao wa wana blog Tanzania watoa rambi rambi kwa mwana habari Conrad Mpila!


Mwenyekiti wa chama cha bloga nchini (Tanzania bloggers network) Bw Joachim Mushi akimkabidhi rambirambi ya Tsh Laki 5 Bw Conrad Mpila aliyefiwa na familia ya watu sita kwa jali ya moto(katikati ni mjumbe wa TBN Bw Doto Mwaibale). Marehemu wote sita walizikwa juzi katika maburi ya Airwing jijini Dar. Bw Conrad ni mfanyakazi katka kituo cha redio Kitula Fm ya Njombe. Mungu nawalaze pema peponi marehemu wote.
Picha na Francis Dande.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :